dlnobby
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 2,513
- 3,350
Tangu saa kumi na moja alfajili zimepitishwa pa kila kona na nyimbo za wasanii kama diamond na wengineo wakinadi kuwa mkutano huo utapambwa na wasanii wengi wa ndani na wakimataifa. Hii ni baada ya kugundua kuwa ccm hatuna mvuto tena,lakini pamoja na hayo wananchi hawana mwamko hata wa kusikiliza kitu.Tuendelee kufahamishana kinachojili kwa uhakika na ukweli.Yawezekana watu wakafika kuona tamasha la wasanii kama diamond na wengineo wa kimataifa kama inavyotangazwa lakini siyo sera zetu ccym.
Kiwango chako cha elimu kidogo sanaaa..diamond yupo lagos na ww unatuambia atakuwepo mbeya....mahaba mabaya sana