Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hizi picha zinachosha, alafu ni aibu kwa mtanzania kujiita KIM KARDSIAN inakufanya uonekane limbukeni na mtu mwenye mawazo finyu
 
Wanalipa fadhira baada ya kula na kushiba wali wa sisiem.
 
si uende kwenye twitter yake,utajua movement zake,
sasa jitu zima kutunga mambo ya ukisebengo,tena asubuhi asubuhi maana ake ana kasoro


Mbona unapanic kuliko aliyeulizwa punguza hasira, avatar yako inaonyesha ulivyo
 
CCM kwani watu?

Si walidanganya Dr Slaa atauwepo jangwani na kujiunga Na CCM

CCM ni wezi na walaghai wa nchi hii
 
jibu simple sera haina mwisho,mpaka dunia ikiisha na wanadamu wasiwepo ndo mwisho wa sera

Matokeo ya sera nayo hayana mwisho, hadi dunia ikiisha? Endeleeni kujichanganya tu! Mkistuka tu, tupo magogoni!
 
Wana mbeya muulizeni awape majibu, miaka 54 ya sera zimetosha!

Kweli wewe ni mang'ati wa babati, miaka 54 huoni kilichofanyoka? Kweli hujitambui hata jinsia yako si bure, ulitaka uletewe pesa hadi mlangoni? Kama hujishughulishi?
 
Tangu saa kumi na moja alfajili zimepitishwa pa kila kona na nyimbo za wasanii kama diamond na wengineo wakinadi kuwa mkutano huo utapambwa na wasanii wengi wa ndani na wakimataifa. Hii ni baada ya kugundua kuwa ccm hatuna mvuto tena,lakini pamoja na hayo wananchi hawana mwamko hata wa kusikiliza kitu.Tuendelee kufahamishana kinachojili kwa uhakika na ukweli.Yawezekana watu wakafika kuona tamasha la wasanii kama diamond na wengineo wa kimataifa kama inavyotangazwa lakini siyo sera zetu ccym.

Were ugeni si wako mbona unahawi kuandaa miswala ya kukalia. Asubhi yote umeshaanzisha Uzi.
 
tazama picha *14.jpg na *17.jpg mtu yuleyule mikutano tofauti...

huo ni mkutano mmoja mkuu,ni mji mdogo wa mbalinzi jiji mbeya,ni njia ya kuelekea tunduma ,wananchi walimuomba asimame awasalimie akiwa njiani kuelekea mbeya na hiyo ndio hali halisi
 
Ninashangaa kwa nn hospital hamna dawa
Ninashangaa kwa nn vijana hawana ajira
Ninashangaa kwa nn TZ haina hata kiwanda kimoja cha kusindika samaki(Aliwahi kuwa hadi Waziri wa uvuvi)
Nashangaa kwa nn akina mama wanateseka kwa kutopata maji
Leo Kyela atashangaa kwa nn tuna barabara mbaya

What I can see ni usanii alio rithi toka kwa JK!Hakika watz sasa ni wkt muafaka wa kuwakataa hawa wasanii

MAGUFULI IS JK's THIRD TERM!Tukatae

Mkuu umeongea yote..! Hao ndio wale WANAOSHANGAA ni kwa nini Tanzania ni maskini.
 
Back
Top Bottom