mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Lizaboni hoyeee!
Mkuu Mussa, vipi monaban atavuka Arusha kwa Lema na huu upepo Wa Mzee wetu Lowasa umeharibu kila kitu.
Lizaboni hoyeee!
Tatizo siyo yeye tatizo ni kichaka alichomo, halafu, ahadi zake sasa hazina mashiko, juzi kawaahidi wale walioshindwa kura za maoni ajira! sasa je hii imo kwenye ilani?
Halafu, ahadi zake zingine hazina mashiko...
Picha zenyewe hazina uhalisia....
akiwa ktk ziara ya kujinadi wilayani rungwe magufuli amesababisha wanafunzi watolewe madarasani ili wapelekwe uwanjani anapohutubia,jambo hilo limezua jazba kwa wazazi wakihoji uhalali wa kuwanyima haki yao ya kusoma huku walio darasa la saba wakijiandaa na mitihani ya kuhitimu. Japo wapo watu wazima wamesombelewa na maloli kwenda mkutanoni. suala la wanafunzi ndilo gumzo kwa wananchi wengi wanatafuta wanasheria kuhoji jambo hilo kwa sasa wanafunzi na waalimu wapo mitaani,hivyo tunahoji mgombea urais ana mamlaka gani hadi afisa elimu awatoe wanafunzi madarasani
Kweli wewe ni mang'ati wa babati, miaka 54 huoni kilichofanyoka? Kweli hujitambui hata jinsia yako si bure, ulitaka uletewe pesa hadi mlangoni? Kama hujishughulishi?
Nafasi za kteuliwa matatizo tupuakiwa ktk ziara ya kujinadi wilayani rungwe magufuli amesababisha wanafunzi watolewe madarasani ili wapelekwe uwanjani anapohutubia,jambo hilo limezua jazba kwa wazazi wakihoji uhalali wa kuwanyima haki yao ya kusoma huku walio darasa la saba wakijiandaa na mitihani ya kuhitimu. Japo wapo watu wazima wamesombelewa na maloli kwenda mkutanoni. suala la wanafunzi ndilo gumzo kwa wananchi wengi wanatafuta wanasheria kuhoji jambo hilo kwa sasa wanafunzi na waalimu wapo mitaani,hivyo tunahoji mgombea urais ana mamlaka gani hadi afisa elimu awatoe wanafunzi madarasani
Kazi ni kazi tu.
Watu wanasema maguful hana mvuto inawezekana kwa sababu yeye sio msanii kama lowasa.. Watu wanampenda kwa ajil ya sanaa yake sasa ww unashangaa msanii kua na mvuto au ndo ulofa.. Hapa kazi tuu sanaa akafanyie kaole.
utakuwa kiongozi katika tume ya wapumbavu na lofa wewe.