Mgombea urais kupitia CCM ametoa ahadi mbili ambazo hazitekelezeki:
1: Kutoa milioni 50 kwa kila kijiji hapa nchini
2: Kutoa laptop kwa kila shule
La kwanza ni kujiuliza hizo milioni 50 atazitoa wapi? Kwa sababu jumla ya pesa hizi zitafikia zaidi ya trilioni sita ambazo ni mara mbili ya bajeti ya nchi kwa mwaka. Kama hizo hela zipo mbona madai ya walimu hayatekelezwi? Mbona madai ya wazee wa Afrka Mashariki yamewekwa pembeni? Wakulima wamekopwa mazao mbona hela yao hawalipwi? Acheni kutulaghai kwa ahadi hewa.
La pili kabla ya kusambaza hizo laptop kuna maandalizi yanatakiwa kwa mfano upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa kila shule. Na je hicho ndio kipaumbele cha elimu kwa sasa wakati madarasa hayatoshi, madawati hakuna; matundu ya choo shida na nyumba za walimu hakuna?
Watanzania tujitambue ndio maana tunazidi kuitwa wapumbavu na malofa!
Niuhunitu ccm hawana lolote, wanatufanya watz wajinga, walitudanganya vijana na mabilioni ya jk yakaishia kwa matajiri na kina rzone. Leo hii m50 kila kijiji!!!!! Dah afadhali wamejionyesha kabla walivyo mafisadi papa safari hii watz hatudanganyiki ng'o!!!
[/h] Baada ya kuitikisa Mbalizi, Mbeya, Mh. John P. Magufuli apokea Malundo ya kadi za CHADEMA kutoka wana UKAWA ambao hawana imani tena na Muungano huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.