Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Eti naye anasema awe kiongozi mzuri huyu!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.5 KB · Views: 2,526
ccm imekuwa kama wao ndio chama cha upinzani vile,kila wanalofanya lazima wajilinganishe na ukawa....dah.....kweli hali sio nzuri, sasa hako kaumati ndio anachanja mbuga?

hata kumi hawafiki
 
Sisi tunaamini kapata watu lakini idadi hiyo hiyo ya watu wakiwa kwenye mkutano wa ukawa ni picha ya kutengeneza!!!
 
vimkutano vya diwani wa ukawa ndio vinakua hivo

Tuache ushabiki, ni kweli lowasa anamzidi Magufuli kiutendaji? Mind you lowasa amekuwa serikalini over 35 yrs. Yaani kwa umri wa miaka 62 alionao, nusu ya maisha yake amekuwa serkalini, serkali hiyo iliyoshindwa. Ni jipya gani tulitegemee, ambao alishindwa kulifanya kwa miaka zaodi ya 30 ambalo atafanya kwa miaka 5.
 
  • Thanks
Reactions: nao
malundo unamaanisha ngapi? kuna watu kule lindi walisema 700 nikaelewa. lundo siyo namba aisee
 

​
Aliyekuwa ameomba kugombea Ubunge jimbo la Monduli lakini kura zake zikawa hazikutosha, Mchungaji Amani Silanga, akionyesha aina mbili tofauti za Kadi za Chadema,
 
Wana JF

Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi leo kwenye mkutano amabao Magufuli alikuwa akihutubia huko Mabizi jijini Mbeya eti kwamba waTanzania tukikosea tukachagua upinzani tutajutia. Nanukuu:

Alisema nchi kama Libya, Tunisia, Iraq na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wananchi wake walilazimisha mabadiliko lakini leo wanajuta.

“Msitoe hukumu ya jumla, zipo nchi zilifanya hivyo zinajuta. Libya ya (Hayati Muammar) Gadaffi ulikuwa ukioa unapewa nyumba, unatafutiwa mtaji, maji, elimu na umeme bure lakini wananchi walichoka raha,” alisema.

“Wakasema anaondoka lakini leo hii hakuna raha na wale vijana waliotaka ukombozi wa haraka ndiyo wa kwanza kuvuka Bahari ya Mediterranean kwenda Ulaya.”

Aliwaomba Watanzania wamwamini na kumpigia kura kwa kuwa akiingia Ikulu hatakuwa na deni la kulipa kwa sababu hakupata nafasi ya kugombea urais kwa kuwalipa watu ili wamteue.


My take:
Zili porojo, vitisho na kutia hofu wananchi ya kwamba mambo yatakuwa mabaya tusipoichagua ccm yamepitwa na wakati ni bora ajikite kwenye sera. Sisi sio waDanganyika anymore, tukutane Oktoba.

Mwenye kuujua ukweli (Magufuli) anaomba kura kwa huruma, wasiolijua game wanadhani game ni kama kipindi cha kwanza (Mkapa et al wanatukana na kufanya vioja with pride)


Wawapatie sasa Wananchi Maji, Umeme, hizo posa na nyumba uone kama wapinzani watachukua Nchi! Hii kitu walipaswa kuifanya zamani not now, Na Magufuli alivyo mropokaji anabwabwaja tu, hivi kweli ni akili kwa maisha yalivyo magumu hivyo kuomba kura kwa kuwaambia Wananchi wengine walikuwa wakipewa vingi vizuri ila wakawa wanatamaa? Hawa unaowaambia hata nyumba za kulala ni issue, maji hawana na umeme hawategemei...wanasurvive badala ya kuishi!

Ninachofurahia hulka ya mtu(personality/character haiwezi kubadilishwa kwa siku chache), sasa uropokaji wake utamponza. Maneno yake yatammaliza mwenyewe.
 
[h=3][/h] Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano uiofanyika kwenye stendi ya basi ambapo aliwaambia wananchi wa Mbalizi kumpa kura zote yeye na kuwapa kura wabunge na madiwani wa CCM ili aweze kufanya nao kazi kwa ufanisi.

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na polisi.
​


​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaimbisha wananchi wa Mbalizi wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakiomba kura kwa wakazi wa Mbalizi na kuwaahidi utumishi uliotukuka
​
Umati wa wakazi wa Mbalizi ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akiwa ameinua mikono juu kama ishara ya umoja ni ushindi pamoja na Mchungaji Lackson Mwanjali (katikati) na mgombea wa ubunge wa jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika stendi ya Mbalizi.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kumkabidhi mgombea wa ubunge kupitia CCM jimbo la Mbalizi Ndugu Oran Njeza
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwapa mkono wagombea udiwani wa kata zilizopo katika Jimbo la Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mbalizi mkoani Mbeya wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni uliokuwa uihutubiwa na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​


​


​


​


​


​


​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwenye mkutano wake wa kampeni za Urais kwenye viwanja vya stendi ya basi Mbalizi.
​
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akizungumza na Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. William Lukuvi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mbalizi mkoani Mbeya.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwa wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano wake wa kampeni.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakisalimiana na wakazi wa kijiji cha iseche waliojitokeza kwa wingi barabarani kumsalimu.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mkwajuni wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Songwe wilaya ya Chunya Ndugu Philipo Mulugo kwenye mkutano wa kampeni Mkwajuni.
​
Wananchi wa Mkwajuni wilayani Chunya, wakiwa na vipeperushi vinavyoonyesha kura ya ndio kwa Mbunge na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Mhe. Godfrey Zambi akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni za CCM Mkajuni wilayani Chunya.
​
Mwananchi wa Mkwajuni akisoma maelezo yaliopo kwenye kipeperushi cha wagombea wa CCM.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mara baada ya kumkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Songwe Ndugu. Philipo Mulugo
​
Dk. Mary Mwanjelwa akionekana mwenye furaha wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Mkwajuni ukiendelea.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambuisha kwa wananchi Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na Dk. Mary Mwanjelwa,kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro.
​
Wananchi wa Makongorosi wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Mwananchi akionyesha kadi yake ya Chama na kitambulisho cha kupigia kura kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Makongorosi.
​


​
Wananchi wa Makongorosi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
​
Wakazi wa Wilaya ya Chunya wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM alisisitiza kuwa anacho ahidi utekelezwa.
 
UKAWA wataisoma namba.
Kesho UKAWA waangalie TV waone mafuriko original ya watu yanakuweje MBEYA.
 
Ni zaidi ya mafuliko mbeya mjini, matangazo kurushwa live zaidi ya channel 4 za tv nchini
 
Mmmhhh aibu yake hakuna kuiteka kitu ajiandae kukubaliana na hali halisi atayoikuta huko
 
Back
Top Bottom