Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

attachment.php
 
g7.jpg
ccm mbele kwa mbele......... watashindana lakini hawatashinda
 
Alafu wawe wanamuonesha yule jam az akishuka kwenye hiyo chopa co anaonyeshwa kasimama tyuuuu cheeefuuu
 
Magufuli hana mvuto kabisa na hauziki kabisa magazeti yanayomwandika hayanunuliwi ndiyo sababu magazeti yanaandika habari za lowassa hata iwe ndogo kiasi gani Magufuli anafanya kampeni lakni hata hatujui MAGUFULI HAUZIKI KABISA
 
Fisadi Lowassa ndio hana mvuto kabisa,anaongea kakamaa kama jitu lililokaushwa,sanamu
 
Kwenye gazeti la udaku ukimweka Shilole front page anauza sana kuliko Lady Jaydee, lakini ukimwambia mtu mwenye akili timamu Shilole ni mwanamziki mzuri kuliko Jide utaonekana kichaa
 
“If you can't fly then run, if you can't run then walk, if you can't walk then crawl, but whatever you do you have to keep moving forward.” By Martin Luther
 
Tatizo siyo yeye tatizo ni kichaka alichomo, halafu, ahadi zake sasa hazina mashiko, juzi kawaahidi wale walioshindwa kura za maoni ajira! sasa je hii imo kwenye ilani?

Halafu, ahadi zake zingine hazina mashiko...
 
Nimekuwa nikimsikiliza Magufuli kupitia taarifa za habari akiwa kwenye kampeni zake amekuwa akijielezea yeye kuwa atafanya hivi atafanya kile, nipeni kura nifanye hivi. Ajabu ni kuwa ni nadra sana huiongelea ccm na hata kuweka kibwagizo cha ccm oyeee! Naomba wachambuzi wengine wathibitishe hili kama ni kweli na kama ni hivyo kwa nini anajitaja yeye zaidi kuliko chama chake kwani anapaswa kueleza ilani ya ccm ina mipango gani ya miaka mitano kama itashinda uchaguzi.

Ama anafahamu kuwa wanaokwenda kumsikiliza wapo pia wanao ipenda ukawa na kwa hiyo kutaja "ccm oyee" pengine anaweza kuwaudhi waliofika kwenye mikutano yake.
 
Tatizo siyo yeye tatizo ni kichaka alichomo, halafu, ahadi zake sasa hazina mashiko, juzi kawaahidi wale walioshindwa kura za maoni ajira! sasa je hii imo kwenye ilani?

Halafu, ahadi zake zingine hazina mashiko...
Aise haya maneno mazuri sana..
 
Back
Top Bottom