Hizo nyingine porojo. Nakukibu hapo kwenye “current affairs”, unafahamu unachoongea endapo wewe siyo chawa?Kuna watu ninyi mna wishful thinking, ambayo inakinzana na reality.
Kuita mtu chawa wakati huna maono , ni kukosa analysis ya current affairs.
Mimi nina huwa nina careful observation ya situation as apart from watu kama ninyi, tupe sasa scenario yako.
Figusu zipi tena wakati mnafungia kila kitu na kila mtu?View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Mama kaamua kujichagua... Kaweka na wapinzani wake... Wananchi wanaambiwa wakatiki!Anayeamua sio sisi ni YEYE, sisi kazi yetu ni kwenda kutimiza tuu wajibu wetu kwa kutiki kwa ule mtindo wa unachukua, unaweka...
P
tena sanaMnyongeni ila haki yake mpeni,bi mkubwa ameajiri hasa sekta ya elimu na afya,miundo mbinu inajengwa maeneo mengi,kama dar 40% iko kwenye ujenzi wa barabara,hakuna mtimilifu ila bi mkuu anapambana
Yeye ndiye anafanyia figisu wenzake ,sasa anashindana nanani.View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Mkuu umechanganyikiwa nini?...View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Mwenyewe ni figisu. Hajui utawala bora wala mwenyewe sio muadilifu. Mtu analeta jamaa zake kama mtoto wake Abdul kuingilia kazi za utendaji wa vigogo wa serikali. Utawezaje au utawaambia nini watanzania kuhusu yule bonge mzimbabwe ndani ya ikuli utafikiri ndio bwana mwenye nyumba. Ni mtu hana adabu kule airport anagawa sadaka kwa watumishi kawapanga foleni kashika burungutu. Kwa vyovyote ni mtoa rushwa. Shenzi sana katukasirisha sana watanzania. Mambo ni mengi ila hili la kuiba uteuzi wa ugombea urais hatutolisamehe.View attachment 3466433
Bora tujifunze reality na watanzania tuache kuwa pessimistic.
Pamoja na figisu zote, hakuna kitakachomzuia mama Samia kuwa Rais wa kipindi kingine cha miaka mitano.
Bora tukawa na uelewa huo na kuukubali.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
( psssst.........usitukane please)
Mwenyewe ni figisu. Hajui utawala bora wala mwenyewe sio muadilifu. Mtu analeta jamaa zake kama mtoto wake Abdul kuingilia kazi za utendaji wa vigogo wa serikali. Utawezaje au utawaambia nini watanzania kuhusu yule bonge mzimbabwe ndani ya ikuli utafikiri ndio bwana mwenye nyumba. Ni mtu hana adabu kule aiport anagawa sadaka kwa watumishi kawapanga foleni kashika burungutu. Kwa vyovyote ni mtoa rushwa. Shenzi sana katukasirisha sana watanzania. Mambo ni mengi ila hili la kuiba uteuzi wa ugombea urais wa ccm hatutolisamehe.
Apewe maua yakesafi sana mama SAMIA