GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm inashindana na NANI? Kwenye UCHAGUZI HUU?
Imeimarika baada ya kuitumia MAHAKAMA, TUME NA MSAJILI.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Huna mama wewe?? Mtanzania bhana ndo akili zako zinavyokutuma badala kuombea shida na laana zako eti. "Ijumaa ya kumuombea mama ushindi wa kishindo"
 
Ushindi wa Kishindi, kwani anashindana na nani ?
 
Eti amemteua!๐Ÿคฃ
 
Hii nchi ni Pana na ina Tafsiri pana pia.

Kuhusu Rais ameshapatikana , Ila karibuni tuanze kuandaa safu ya viongozi wapya katika baraza la mawaziri.
 
Msifanye mambo magumu yaonekane mepesi!Huwezi kufanya uhalifu huu alafu ubaki salama..haya ni matusi kwa wananchi!wacha waenddlee kushupaza shingo sisi ni wanadamu na tuna nyama,watawala mgundue hilo!

Samia mambo unayifanya hayajawai kutokea popote duniani na kama yalitokea matokeo yake hayakua chanya!Msituchukulie sisi watanzania ni wapumbavu kiasi hiko!
 
Nadharia
 
Athuman bhn
 
Nyomi la Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekusanyika katika Viwanja vya Tumbaku mkoani Morogoro kwa ajili ya kumsubiri mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM mpendwa wetu Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป ambaye ameendelea kuipeperusha vema bendera ya CCM.

Mgombe wetu Dkt. Samia, yupo mkoani Morogoro kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya kunadi sera bora za CCM kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba 29 mwaka huu.

Safari imeanza na hakuna wa kuistopisha.



​
 
Mbna asilimia 90 ni under 18 kiongoz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ