Nyomi la Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekusanyika katika Viwanja vya Tumbaku mkoani Morogoro kwa ajili ya kumsubiri mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM mpendwa wetu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ambaye ameendelea kuipeperusha vema bendera ya CCM.
Mgombe wetu Dkt. Samia, yupo mkoani Morogoro kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya kunadi sera bora za CCM kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba 29 mwaka huu.
Safari imeanza na hakuna wa kuistopisha.
Mama yenu alisoma chuo gani first degree? Mbona kwenye CV yake hamuoneshi alikosoma?Nyomi la Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekusanyika katika Viwanja vya Tumbaku mkoani Morogoro kwa ajili ya kumsubiri mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM mpendwa wetu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ambaye ameendelea kuipeperusha vema bendera ya CCM.
Mgombe wetu Dkt. Samia, yupo mkoani Morogoro kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya kunadi sera bora za CCM kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba 29 mwaka huu.
Safari imeanza na hakuna wa kuistopisha.
Picha iko wpKatika ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wilaya ya Ilemela Pamoja na kusomba wanafunzi kuwaleta uwanja wa furahisha bado uwanja umepwaya watu hakuna hebu muwe na aibu
Wanaweza kukatisha kampeni😂Nimepita hapo nusu saa iliyopita ni aibu tupu.