kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
narudia tena, kamwe mkenya hawezi kumfundisha mtanzania lugha adhimu ya kiswahili.Kiswahili chenu kibovu sana. Huwa mnajidai magwiji ila mkisikizwa vizuri munahari Kiswahili muno. Licha ya maneno ya Kiswahili mnayoharibu haya:-
Kuongeza -ga mwishoni mwa kitenzi. Kwa mfano:-
Naskiaga
Nakulaga
Naonaga
Kusema r badala ya l na l badala ya r
Mfano
badala - badara
Maringo - Malingo
Usijali - Usijari