Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 722
- 207
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado yupo vizuri huwa naona anatupia picha kwenye page zake
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado yupo vizuri huwa naona anatupia picha kwenye page zake
![]()
Mkuu nasikia sugu na x plastaz walikua wakipiga Sana show ulayaD Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.
Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)
HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.
Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,
DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.
Bring Back Our 90's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti alienda kutoa Posa kwakina Mr blue ili amuoe dogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leta ubuyu huo.elezea kwa kirefu kidogoDully kubakwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yap sijui walikua wanaitwaje??? Umenikumbusha mbali sana kosa la marehemu hakuvaa kondom sijui ile nyimbo walikua wanamaanisha ninHivi wale walioimba [HASHTAG]#HAKUVAA[/HASHTAG] KONDOM ni akina nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati bushoke ametoa album yake ya kwanza barua. Cover lake kuna shati alikuwa amevaa basi likawa fassion kkoo yakawa yanauzwa kama njugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi boban hakupigwa..maana nasikia bou alipigwa mpaka akalazwa aga khan...ebu tuelezee vizurkala pina alikuwaga anazingua sana kawazingua sana king'oko, alikuwaga anawaletea sana N2N wakija Dar kupiga show.. kuna siku pale Club billcana Lord eyez akamtolea uvivu aisee hapakutosha Lord naye kumbe ni mtemi bhana daaah alimrushia sana , kalapina akarudi sijui block 41 huko kwenda kuwachukua wenzake. Hii bifu iliendelea sana kwa muda kunakipindi bou ako akataitishwa na washkaji wa kikosi wakiwa na boban.
Wakawekeana mipaka hahahaha kipindi hicho kalapana akawa hafiki arusha ila N2N Wanapiga tu dar fresh.. Umri ushaenda walisha acha mizinguo ila pina alikuwaga ana zingua sana alikuwa anajikuta yeye pekee na kikosi ndo wanafanaya real hip hop
Hiyo ya solo thang iliishaje,hivi Hashim nae alikua mtata???Pina kwenda kutoa posa nyumbani kwa kina Mr Blue...
Solo Thang kutekwa na Kikosi siku ya uzinduzi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kalapina mnyanyua vyumaKalapina ilikuwa too much alikuwa anajikuta msela nyaaa sana kuna halafu nilikuwa nasikia baba yake alikuwa mejaa jeshinii,
Hicho ndo kilikuwa kinamtia jeuri kuna time niliwahi kupita mitaa ya block 41 kinondoni watu walikuwa wanamzungmzia vibaya sana tabia yake ya ukorofi
Basi ile 2005' marehemu Ngwear na J. nature wakatunga ule wimbo wa mtoto wa Jakaya. Namkumbuka nature akiimba "si ndo CCM" kwenye kampeni za Kikwete.King Crazy GK kuna kikofia cha matobomatobo alikuwa anapendelea kukivaa basi nakumbuka wakati huo nipo sekondari ikageuka kuwa fasheni kwa vijana, 'kikofia cha GK'. Na pia kundi la ECT liliwashika sana vijana miaka kama ya 2002-2004, ikatokea vijana sehemu mbalimbali hasa mashuleni wakiunda vikundi na kujiita East Coast, huku wakitumia majina ya members maarufu kama GK, AY na Mwanafalsafa. Mfano ni shule yetu, kulikuwa na kikundi cha namna hiyo, East Coast baadae walikuja kufunikwa na TMK Wanaume baada ya ujio wao wa ngoma kama NYUMBANI NI NYUMBANI wakitumia style ya kucheza iliyobamba sana miaka ya 2004-2005 (Mapanga Shaaa), huku ikiwa na members maarufu kama Juma Nature, Temba, Chege, KR Mullar, Dollo, Luteni Kalama, YP & Y'DASH, Mabaga Fresh, etc. Hiyo style ya mapanga ilishika ile mbaya kwenye clubs/madisco, ikipigwa ngoma ya NYUMBANI ni NYUMBANI mademu wanakaa pembeni, tunabaki washkaji tumejipanga line tunapiga mapanga huku tukichombezwa na slogan ya (WANAUMEE.....EEEHHH).
Na kutokana na kukubalika sana kwa kundi hili ilipelekea kutumika sana kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka 2005 huku wakizunguka sehemu mbalimbali za nchi na mgombea wa wakati huo wa CCM Jakaya Kikwete.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ulikua unakaa nae mtaa mmoja nin!!!! Hebu tueleze kwa kirefuNilikuwa simpendi na kikosi chao cha mizinga. Alikuwa anatisha sana. Misuli alikuwa akiiacha nje halafu anafunika jicho moja kama chongo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh! Kipind hicho bado sijaja mjini wadau
Hahahshs tena akasema live kwenye redio mi cjaliwa kiboga wanaipakazia.... nadhani ndo akatoa ule wimbo wa hunifahamuIliposemekana Dully kafumaniwa na mke wa mtu jamaa wakamkata kiboga.
Apo kuna balozi na saigoniUnawajua DIPLOMATS lakini!? Au nayo haudhani kama unawajua!?
Hilo shindano lilifanyikaga diamond jubilee kiingilio ilikuwa buku mbili ila mwisho wa shindano ngoma walitoka droo ila yote Tisa kumi shindano LA kumtafuta mfalme wa rymes sijui ni wangapi wanaokumbuka
Nakumbuka 2003-04 Niko Sec kaole,
Basi kutoka Mwenge kwenda bagamyo kipind cha kurud Shule baada ya likzo kulikua na hiace mwenge zilikua na Mzik mzito Saaana kipind hicho asee (zilijukana kama Paka mweusi na paka mweupe) BA's maisha yalikua matam sana back then,
Na hiz ndio nyimbo zilizokua zinatamba enzi hizo
Ferooz-starehe album
Daz nundaz-nipe 5
Matonya-vailet
Mike tee-mnyalu,kama na nk
DJ yusuph-mbele kwa mbele( Jamaa namkubal sana huyu alitoa hii ngoma moja tu kaimba na hardmad alikua anaish U.K
Nikizipata aaaah mbona itakua noma, nikizipata mbona wanga watakomaa,Nikizipataa wengi watajiita jina langu, hata madem walionitosa watataka wawe wangu. HII NGOMA KALI SAANA ENZI HIZO NAIONA TVT ANAEJUA ALIIMBA NANI ANIJUZE PLZ
Black skull- watu balaa huzuaa balaa kero,
Mshikaj dem wako,-Eazy E ft suma g
Suma g vituko uswahilin
Na zingine nying ...
Aaah Enzi za Walkman
Wateule aoEbana Mkuu kuna SONG FLANI LILIKUWA LINAITWAA OYA MSELA OYAA OYAA MSELAA
HIVI UNAKUMBUKA WASHIKAJI WALIOTOA LILE GOMA LILIHIT SANA MIAKA HIYO.
BILA KUSAHAU ULE WIMBO MIMI NI MSELA SIWEZI KWENDA JELA NIKIENDA JELA NINARUDI NA MAHERA DAH HATA MSANII AMENITOKA