Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Jani likikukubalii halina shidaa dem wangu limemkubalii htr na cjawah ona likileta tabu kwakee n mwakaa wa 5 ss
We endelea kujifariji, ipo siku atafanya kitu cha ajabu na ndipo utakapotambua kuwa bhangi haijawahi kumkubali binadamu.
 
Hizi mambo mnakumbushia wakati huu wa maombolezo kwa malengo gani, nina wasiwasi na motive ya mleta uzi anataka Sele achukiwe au adharauliwe bila sababu, yaliyopita yalishapita, no one is ever perfect.
 
Namba 8 nalikumbuka vema hilo tukio

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…