Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Jani likikukubalii halina shidaa dem wangu limemkubalii htr na cjawah ona likileta tabu kwakee n mwakaa wa 5 ss
We endelea kujifariji, ipo siku atafanya kitu cha ajabu na ndipo utakapotambua kuwa bhangi haijawahi kumkubali binadamu.
 
Hizi mambo mnakumbushia wakati huu wa maombolezo kwa malengo gani, nina wasiwasi na motive ya mleta uzi anataka Sele achukiwe au adharauliwe bila sababu, yaliyopita yalishapita, no one is ever perfect.
 
Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit.

1.moja kati ya matukio ilikuwa ni DUDUBAYA KUMPIGA MR.NICE NA KUMUUMIZA .

2.TUKIO LA WATU KULA UGALI KATIKA UZINDUZI wa albamu ya mtoto wa get I Kali diamond jubilee

3.bifu LA sister p na ZAY b KIPINDI WAKO kwenye chat.

4.Tukio LA east coast kupigwa mawe uwanja wa taifa na wahuni wa TEMEKE .

5.bifu LA wasanii wa Tmk na eastcoast

6.mwanadada sitta alivyonusurika kupigwa ENZI za uzinduzi wa albamu ya UGALI ya jumanature.

7.tukio LA wadada kubakwaa hii ilikuwa viwanja vya jagwani hii ilikuwa show ya buree ENZI za jk anafanya kampeni baada ya kundi LA Tmk WANAUME

8.tukio LA ali choki MZEE wa FARASI alipodondoka juu ya FARASI hadi akazimiaa katika show yake flani ivi.

9.BIFU YA ISPECTA NA JUMANATURE hii ilikuwa kitambo

10.TUKIO LA dully syskes kupigwa maweee hii ilikuwa fiesta 2002 na wahuni wa TEMEKE.

Haya jamani mnakumbuka nini lakini pia hebu ongeezeni matukio tujikumbushiee
Namba 8 nalikumbuka vema hilo tukio

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom