DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Hii post nawaona mashabiki wa Barcelona wakimchukia Neymar
Hakuna anaemchukia neimar.tumchukie kwa lipi??? Ila kumfananisha na kiumbe/King asiefananishwa na michezaji iliyopita na ya sasa ni kumkosea heshima. Kwa cr7 hajafikia ata robo na hata kwa dybala,,,kwa King Messi ataweza!!!! Ballon atakuwa anaziangalia kwenye runinga
Messi acha aitwe Messi. Bado sijaona wa kariba yake tokea soka lianze kuchezwa hapa ulimwenguni.