Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Ni kweli analamba million mia kwa wiki?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Impact ya Neymar duniani ni kubwa sana kuliko zlatan wa kipindi hicho... Na ukumbuke kipaji na skill ni factor moja wapo ya kushinda baron dor.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?
Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?
Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.
- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)
- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.
- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.
Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.
Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?
Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!
Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!
Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!
- KANA -
Hata sijaelewa point yako ni ipi?Impact ya Neymar duniani ni kubwa sana kuliko zlatan wa kipindi hicho... Na ukumbuke kipaji na skill ni factor moja wapo ya kushinda baron dor.
Hivi kilichokuwa kina igharimu PSG kukosa UEFA ni kumkosa mtu wa aina ya Neymer?Impact ya Neymar duniani ni kubwa sana kuliko zlatan wa kipindi hicho... Na ukumbuke kipaji na skill ni factor moja wapo ya kushinda baron dor.
Yes
Si HIVYO[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?
Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?
Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.
- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)
- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.
- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.
Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.
Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?
Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!
Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!
Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!
- KANA -
Hela yote ya makinikia anaweka mfuko wa nyuma dogoNi kweli analamba million mia kwa wiki?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hujaelewa nini,, point yako ni kwamba Neymar kapotea kwenda PSg nami nasema hajapotea ndio kwanza atafanikiwa zaidi hata baron dor atachukuwa trust me. Ulivosema Zlatan kaenda PSG hajafanikiwa kuwa hata kumi bora baron dor ndio usije kumfananisha na Neymar kwa impact ya kila mmoja sijui Kam unanielewa vizuri... Hivyo nasema tena Neymar Atafanikiw zaidi PSG na si ajabu baron dor mwaka 2018 ikamuhusu.Hata sijaelewa point yako ni ipi?
Hebu tulia uandike kwa makini tuelewane!
- KANA -
Ni kweli sababu ukiangalia PSG ya msimu uliopita walikuwa na kikosi bora sana na kama Neymar angekuwepo kwa msimu ule basi tungeongea mengine UEFA .. Nadhani katika mpira kuna mamb madogo san uwa yanaigharimu timu na kupoteza momentum ya kuendelea ndio kilichotokea kwao...ila kwa msimu huu nadhani naweza sema PSG wasipo chukua UEFA mi naacha kushabikia mpira kabisa!... Fw Neymar,Fw edinson cavani, di maria, Mf Lucas moura,thiago mota, thiago silva, dani alves na jinsi alivo na chemistry na Neymar.. Ngoja uoneHivi kilichokuwa kina igharimu PSG kukosa UEFA ni kumkosa mtu wa aina ya Neymer?
Qaluu lamnakuminal musswalliin
UmenenaNi kweli sababu ukiangalia PSG ya msimu uliopita walikuwa na kikosi bora sana na kama Neymar angekuwepo kwa msimu ule basi tungeongea mengine UEFA .. Nadhani katika mpira kuna mamb madogo san uwa yanaigharimu timu na kupoteza momentum ya kuendelea ndio kilichotokea kwao...ila kwa msimu huu nadhani naweza sema PSG wasipo chukua UEFA mi naacha kushabikia mpira kabisa!... Fw Neymar,Fw edinson cavani, di maria, Mf Lucas moura,thiago mota, thiago silva, dani alves na jinsi alivo na chemistry na Neymar.. Ngoja uone
Nimegundua neymar ni Bora kuliko ronaldo kwa sasa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]