Special Thread: Tujuane wafuasi wa Neymar de Santos , Na PSG

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?

Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?

Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.

- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)

- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.

- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.

Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.

Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?

Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!

Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!

Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!

- KANA -
Impact ya Neymar duniani ni kubwa sana kuliko zlatan wa kipindi hicho... Na ukumbuke kipaji na skill ni factor moja wapo ya kushinda baron dor.
 
Hata sijaelewa point yako ni ipi?
Hebu tulia uandike kwa makini tuelewane!

Hivi kilichokuwa kina igharimu PSG kukosa UEFA ni kumkosa mtu wa aina ya Neymer?

Qaluu lamnakuminal musswalliin
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?

Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?

Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.

- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)

- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.

- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.

Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.

Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?

Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!

Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!

Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!

- KANA -
Si HIVYO
 
Hujaelewa nini,, point yako ni kwamba Neymar kapotea kwenda PSg nami nasema hajapotea ndio kwanza atafanikiwa zaidi hata baron dor atachukuwa trust me. Ulivosema Zlatan kaenda PSG hajafanikiwa kuwa hata kumi bora baron dor ndio usije kumfananisha na Neymar kwa impact ya kila mmoja sijui Kam unanielewa vizuri... Hivyo nasema tena Neymar Atafanikiw zaidi PSG na si ajabu baron dor mwaka 2018 ikamuhusu.
 
Hivi kilichokuwa kina igharimu PSG kukosa UEFA ni kumkosa mtu wa aina ya Neymer?

Qaluu lamnakuminal musswalliin
Ni kweli sababu ukiangalia PSG ya msimu uliopita walikuwa na kikosi bora sana na kama Neymar angekuwepo kwa msimu ule basi tungeongea mengine UEFA .. Nadhani katika mpira kuna mamb madogo san uwa yanaigharimu timu na kupoteza momentum ya kuendelea ndio kilichotokea kwao...ila kwa msimu huu nadhani naweza sema PSG wasipo chukua UEFA mi naacha kushabikia mpira kabisa!... Fw Neymar,Fw edinson cavani, di maria, Mf Lucas moura,thiago mota, thiago silva, dani alves na jinsi alivo na chemistry na Neymar.. Ngoja uone
 
Umenena
 
Mkuu asante kuanzisha hii thread ya huyu bwana mndogo ambae uwezo wake namfananisha na wachezaji kama wakina aubamayeng,hazard na de maria,lukaku n.k!!!!

1~Nakujiunga kwake PSG Na mafanikio yote anayopata, ebu niambie mafanikio gani kayapata???

2~
Itaenda kumalizia ubabe wa Spain katika masuala ya mpira wa miguu, hilo sahau kabisaa,,Barcelona,Real madrid na Atletico weka mbali na vitoto. wakina IBRAHIMOVICH na EZEQUIEL LAVEZZI wamepita hapo but hawakuweza kunyanyua uefa sembuse ka neimar kanakupa kiburi mzee!!!! De maria,cavan na pastore wapo alakini wameshindwa kufanya kitu,,neimar ndio atawezaa!!!!

3~
Naona ubabe wa messi Na ronaldo ukifika kikomo, kwanza kwasababu ya umri wao, Na marginal diminishing returns, yaan wamechoka, wameshaonjja mafanikio ya kila kitu ( ispokuwa kombe la dunia) hivyo hawana utashi wa kujituma tena,
Lakin kwa neyma mi mchanga kwenye soka amahitaji kuyapata mafanikio kama ya wenzake,

Duhh!!! Unajiamini vipi kusema ivyo mkuu??? King Messi na Neimar Wapi na wapi??? Ni kama tembo na kobe.

Hata kwa ronaldo pia asahau,,,,tena pale psg nakuhakikishia after 2 years atachemka kabisa ni kama gaucho tu. Simtakii mabaya...alakini unavyosema king na ronaldo wamefikia kikomo hilo sahau nduguu,,, tena King Messi ndio usimtaje kabisaa,,,huyu ni jini haelezeki,,maradona pele na wengineo wanamtambua ndie baba wa soka ulimwenguni kuwahi kutokea,,,sembuse panya buku (kineimar!!!!) Aisee 2takosana mzee! Usimfananishe tena King we2 na Vitoto vya chekechea!!! Please!!!!

4~
Kujiunga kwake si lazima aanze Na mafanikio ya CL, yaan UEFA, Anaweza anza Na ligi kuu, Na makombe mengine Na baadae akaweza kubeba ligi kuu, Haya maneno umeyaokotea wapi kamanda??? Basi anacheza peke yake pale psg mpaka abebe makombe yote hayo,,,,mbona unamfagilia mnoo while uwezo huo hana!! Ivi mkuu unamjuwa vizuri ibrahimovich?? Nani alikuwa zaidi ya mwenzie??? Na kwanini hakuweza kubeba UEFA na alikuwa na players wazuri pembeni yake,,Na ndio hawa 2nawaona wakicheza na Neimar??? Mkuu usidanganyike bwanaa,,,huyo dogo asikuzingua ameenda kula pesa tu na kitambi soon kitatoka,,,,trust me!!!!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yani neymar ndo aje kuipa mafanikio PSG?

Neymar aje kupata mafanikio akiwa na PSG?

Acha niwakumbushe,
Zlatan ibrahimovich alikuja PSG wakati PSG haijashinda ligi ya ufaransa tangu miaka ya tisini.

- akaiwezesha PSG kushinda ligi ya ufaransa Mara nne (back to back)

- akawa mfungaji bora wa wakati wote wa PSG.

- akafunga magoli 50 katika msimu wake wa mwisho hapo ufaransa.

Lakini msimu huo, hata top ten ya wachezaji waliowania ballon d'or hakuwemo.

Sasa hii miujiza mnayoitegemea kwa Neymar itatoka wapi?

Neymar ni moja kati ya vipaji adimu vya mpira vilivyobaki. Maamuzi ya kwenda PSG ni kwaajili ya fedha, na sio mafanikio ya Mpira!

Mtakapokua mnakutana na wababe wa ulaya kama Madrid, Barca, na vigogo wa uingereza mtaendelea kuonekana average!

Sitegemei mkubali haya mawazo yangu!

- KANA -

Naungana na wewe Mkuu
 
Naona ubabe wa messi Na ronaldo ukifika kikomo,kwanza kwasababu ya umri wao, Na marginaldiminishing returns, yaan wamechoka,

King Messi amefika kikomo?? Mkuu vipi bwanaa!!! Ndio kwanza anaendelea kupasua wewe unasema amechoka??

From now to 2021 huyo neema atazisikia ballon kwenye runinga. Cr7 hana chake from now,,, Post hii itakuwa shahidi kwa mleta uzi.

King Leo adi atastaafu soccer atakuwa kishajinyakulia ballon de Kumi/10. Trust me.

Hii post nawaona mashabiki wa Barcelona wakimchukia Neymar
 
Back
Top Bottom