Special Thread: Tujuane wafuasi wa Neymar de Santos , Na PSG

Hii post nawaona mashabiki wa Barcelona wakimchukia Neymar

Hakuna anaemchukia neimar.tumchukie kwa lipi??? Ila kumfananisha na kiumbe/King asiefananishwa na michezaji iliyopita na ya sasa ni kumkosea heshima. Kwa cr7 hajafikia ata robo na hata kwa dybala,,,kwa King Messi ataweza!!!! Ballon atakuwa anaziangalia kwenye runinga


Messi acha aitwe Messi. Bado sijaona wa kariba yake tokea soka lianze kuchezwa hapa ulimwenguni
.
 

Kweli wewe ni zaidi ya mnazi! Hapo kwenye blue ndio umeonyesha dhairi kuwa unamchukia sana Neymar, yaani Dybala ni zaidi ya Neymar?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…