Mmh kwa serekari ya Bongo ni hatarii na nusu kujenga karbu kabsa na barabara.
 
viwanja vipo viwili kila kimoja ni sqm 1503
viwanja vipo madale kwa kawawa km 1.5 kutoka barabara ya lami ya goba njia nne - Madale
VIWANJA VINA HATI MILIKI VYOTE.
BEI NI MILIONI 65 KWA KILA KIMOJA.
MAWASILIANO
0677 818283.

 
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.

Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 18 (18,000,000/=) tu

Nauza lote sikati nusu nusu.

Mawasiliano 0677 818283

 
Asante mkuu. Ngoja tujipapase mfukoni. Tutakucheki pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…