Nauza Plot Hii Ipo mbezi Beach Africana - SEA BREEZE
Njoo ujenge Mall,apartments,F Ukumbi na hata makazi ya kuishi kwenye hii Plot iliyopo eneo zuri la kibiashara
Kiwanja kipo Barabarani kabisa PLOT IMEGUSA LAMI
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 2,007
Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya kibiashara na hata makazi
HATI MILIKI IPO - HAKINA TATIZO LOLOTE
BEI NI MILIONI 400 TU (400,000,000/=)
0677 818283
View attachment 1829208
View attachment 1829204View attachment 1829205View attachment 1829206
Tuwasiliane mkuuMilioni 350 vipi?
msofe tenaaPapa msofe itakuwa ashaanza mishe zake za utapeli wa viwanja mbezi beach. Muwe makini
Mbona yupo jelaPapa msofe itakuwa ashaanza mishe zake za utapeli wa viwanja mbezi beach. Muwe makini
msofe ametokea wap tenaMbona yupo jela
Vp mkuu nunua nyumba hiyo
Haina tatizoHaina mauza uza lakini[emoji848]
VP MKUU
Plot ipo MBEZI BEACH AFRICANA - ZILIPO APARTMENTS ZA SEA BREEZEHujaweka location