PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD. Ili kukujali mteja wake hasa kipindi hichi cha Sikukuu inakuletea Viwanja Kwa bei ya kutupa,ushindwe wewe tu...Viwanja hivi vinapatikana Pangani Kibaha:
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi.
✓Vipo karibu na soko la loliondo.
✓Vipo karibu na stand kuu ya mabus ya maili moja.
✓Vipo Umbali wa 2.5 km kutoka Morogoro road.
✓Vipo karibu na barabara inayounganisha KIBAHA na VIKAWE.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Bei yake ni 9000@1sqm
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku ya Jumatatu Hadi Jumamosi.
✓Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
✓Kwa Mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900..
Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
KARIBUNI SANA.
View attachment 2189655