[emoji91]OFA VIWANJA VIGWAZA [emoji91]
[emoji835]Viwanja vimepimwa na vina hati
[emoji835]Bei yetu ni 2,000/SQM.
[emoji835]Lipia 200,000 kila mwezi Hadi ukamilishe(installment)
[emoji835]Vipo umbali wa KM 6 kutoka Vigwaza Mizami.
[emoji835]Viwanja Vipo pembezoni mwa barabara inayojengwa inayoelekea bandari mpya.
[emoji835] Miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika.
[emoji835]Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 650 Hadi SQM 1,247
[emoji835] Kutembelea site ni kila siku,hakuna gharama
[emoji835]Eneo ni tambarare na linafaa Kwa Makazi na biashara
[emoji835]Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Mbutu na Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mwapinga.Kibaha Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani , Misugusugu, Fukayosi na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.
[emoji835]Wahi sasa ofa hii ya Viwanja
[emoji835]Ofisi zetu zipo Nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU SANA