Plot4Sale Special Thread: Tunauza Viwanja maeneo mbalimbali

Aisee naweza pata cha sqm 400 ambacho kipo karibu na road
 
PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD..Inakutangazia uuzaji wa Viwanja katika maeneo ya Vikawe Bagamoyo Pwani
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi.
✓Vipo Kilometres 3 kutoka Main Road .
✓Vipo karibu na shule ya baobab.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Vipo Viwanja vya ukubwa mbalimbali.
✓Bei ni 15,000@1sqm
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota,Cheka,Mbutu, Pangani Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
✓Kwa Mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900..
Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
KARIBUNI SANA

Viwanja hivi vinapatikana Kibaha Mkoa wa Pwani:
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi.
✓Vipo karibu na check point (Ofisi za wakala wa vipimo)
✓Vipo umbali wa 500m kutoka Main Road.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Bei yake ni 9000@1sqm.
✓Vipo vya ukubwa mbalimbali.
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota, Cheka, Bunju A, Mwasonga, Mbutu.
Call/SMS/WhatsApp: 0712156900

Kibaha maili moja mnavyo?
 
Viwanja Vinauzwa Madale Mivumoni, karibu ujipatie chako mapema:

✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi.
✓Viwanja vipo karibu na shule ya Atlas.
✓Vipo Umbali wa 1.5 km kutoka Main road.
✓Vimebaki vichache vya 539 SQM, 506 SQM, 511 SQM na 605 SQM....
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Bei yake ni 37,000@1sqm
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Bunju, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe Misugusugu, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
✓Kwa Mawasiliano zaidi Call/SMS/WhatsApp: 0712156900..
Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
KARIBUNI SANAView attachment 2196204View attachment 2196205
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…