Special thread: Ujinga ni?

Special thread: Ujinga ni?

Ujinga ni kuning'inia kwenye waya za umeme ukidhani zitakuacha kwa vile tu umeona kunguru wanasurvive
 
ujinga ni kutafuta mbegu za soda madukani ili ukazipande upate soda
 
ujinga ni kiumbe ambacho hakiridhiki... pamoja na comment zoote bado kinataka watu waandike ujinga tu.
 
Ujnga ni kuchukia kwa nini ulizaliwa na huku unampenda mama
 
Ujinga ni kutaka maisha yenye afadhali wakati unakomaa na ccm
 
Ujinga ni kuingia kanisani/ msikitini na simu ikiwa on!
 
Ujinga ni kuilaimu ccm kwa umaskini uliosababishwa na uzembe wako wakati jirani yako anaenda sokoni na hammer alilonunua chini ya utawala wa ccm
 
Ujinga ni kujaribu kujamba wakati unajua unaharisha......
Kitachotokea pia ni ujinga kukiandika hapa..
 
Back
Top Bottom