Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Uzi huu utajaa haraka kama ule wa "andika chochote upate likes", "wa mwisho ndio mshindi" na ule wa "Makapuku Forum"
Umesahau na ule Uzi mwingine wa kushonea mawigi
 
eti wadada ambao chura inatikisika sana huwa wanatumia ule mtandao pendwa ?
Chura chura tu iwe inatikisika,imepigwa pasi,iwe ya kiume kama yako siangalii mm siangalii nakupelekea moto tu!
 
Hivi ukichomoa betri ya gari ukafunga generator yenye uwezo sawa na lile betri gari haliwezi kuwaka
UKIFANYA HVY UKIWA NA ILE JANI YA ARUSHA KICHWANI,ITAPAA KABISA KAMA NDEGE! SIO KUWAKA 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…