SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,328
- 2,228
Umesahau na ule Uzi mwingine wa kushonea mawigiUzi huu utajaa haraka kama ule wa "andika chochote upate likes", "wa mwisho ndio mshindi" na ule wa "Makapuku Forum"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau na ule Uzi mwingine wa kushonea mawigiUzi huu utajaa haraka kama ule wa "andika chochote upate likes", "wa mwisho ndio mshindi" na ule wa "Makapuku Forum"
Hivi huwa ni uzi mweusi?Umesahau na ule Uzi mwingine wa kushonea mawigi
Wewe pia muhuni kwa sababu una tundu katikatiHivi kwanini donati huwa zina tundu katikati, kama sio uhuni ni nini hicho!!!!
ohooooooWewe pia muhuni kwa sababu una tundu katikati
lazima hili litakua pua tuWewe pia muhuni kwa sababu una tundu katikati
Chura chura tu iwe inatikisika,imepigwa pasi,iwe ya kiume kama yako siangalii mm siangalii nakupelekea moto tu!eti wadada ambao chura inatikisika sana huwa wanatumia ule mtandao pendwa ?
Hamna bhana naongelea chemba LA choolazima hili litakua pua tu
Tundu katikati kutoka kuchwani na miguuni na kushoto na kuliaWewe pia muhuni kwa sababu una tundu katikati
Kama upo ubungo kwea gogo au bombadia mkuuNipo APA ubungo nasubir mwendokasi kwenda Dodoma vip naweza kupata pantoni APA?
Humu ni nje mkuu, karibu ndaniHumu ni instagram au facebook?
WEWE UNGEKUWA NA AKILI USINGEUFUNGUA WALA KUCOMMENT, NAFURAHI KUONGEZEKA KWA MJINGA WEWE MMOJA HUMU KUNDINI!Hivi aliyeanzisha uzi na wanaocomment kwenye huu wana akili timamu
Bilashaka wa darHIVI JAMANI MIMI MWENZENU NI JINSIA GANI ..
Huyo mkaka hayupoWe mdada upo?
Unamaanisha mwezini?hapana na mmwezi vizuri
na wew wa lamuBilashaka wa dar
Kwa hiyo we ni mbobezi wa social masturbationAcha kufanya political masturbation
lamu ..Mombasa hukoUnamaanisha mwezini?
Siyo "Pinda" bali "Nyoka" moja kwa moja mpaka Wasira wa avatarPinda waziri mkuu mstaafu ndio alisema tupigwe tu? Au ni Mizengo ndio alisema?
UKIFANYA HVY UKIWA NA ILE JANI YA ARUSHA KICHWANI,ITAPAA KABISA KAMA NDEGE! SIO KUWAKA 2Hivi ukichomoa betri ya gari ukafunga generator yenye uwezo sawa na lile betri gari haliwezi kuwaka