Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Inawaka na itapaa angani Ni njia rahisi SanaHivi ukichomoa betri ya gari ukafunga generator yenye uwezo sawa na lile betri gari haliwezi kuwaka
Na pia unaweza ukatumia Kama power bank ya gari.