Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Kwa milimiterHivi niulize, utumbo unapouzwa pale kwenye buchari, huwa unapimwa kwa kilo ama kwa mita? 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa milimiterHivi niulize, utumbo unapouzwa pale kwenye buchari, huwa unapimwa kwa kilo ama kwa mita? 😀😀😀
Comrade natokea kwa manati Sana nowmkuu hivi unatembeleaga jukwaa gani maana umepotea JF sijui uko na shem
Ndiyo mkuu tafuta kituo chochote cha polisi wanatoa huduma ya ku subscribe buure hautatozwa hata kuminiusubscribe Uzi huu?
Unapimwa kwa makamasiHivi niulize, utumbo unapouzwa pale kwenye buchari, huwa unapimwa kwa kilo ama kwa mita? 😀😀😀
Kilikuja na alama ya kiulizo uliyomalizia baada ya pantoni.Kingereza kilikuja na boti au pantoni?
Alianza kuseti saa na mbu kisha saa tena ndo ikawa sambusa.Eti aliyegundua SAA aliinza kuset SAA ngapi
Tumia microscope utayaona.Hivi meli mbona haina matairi makubwa kama ya trekta!?..
Ndio kipo kinaitwa nabii Tito to let.Jaman kunachoo humu nijisaidie
Hapana linaitwa nyeusesheni peeeeHivi taifa lenye barabara za lami kila sehemu ndo kwa kiingereza linaitwa lamination?
Hapana zina rangi ya Jamii forumZile jez wanazovaa Simba sports club huwa ni nyekundu au kijan?
Wamepigwa BAN hii wiki ya 3
Ndio anao na unaitwa kibamiaEti binadamu anajamba kwa sikio
Hapana anajamba kwa kidole gumbaEti binadamu anajamba kwa sikio
Muwa hauna sukari bali una asaliIvi mua unasukari?
Hapana ni ng'ombe wa nyama ya kijaniJamani hii ndio Snapchat eti eeh??
Dagaa ni temboDagaa ni nini?
Hapana ni land lover 109Hivi dictator uchwara ni yule mwenyeji wa chamwino au kaskazini pemba?