Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Inawaka na itapaa angani Ni njia rahisi SanaHivi ukichomoa betri ya gari ukafunga generator yenye uwezo sawa na lile betri gari haliwezi kuwaka
Kwani Tanzania ishaanza kukopesha ulaya
Yaani unamaanisha mvua huwa inapinda?Hapana ule uzi una rangi ya upinde wa mvua.
ndio mvua huwa inapinda kupishana na juaYaani unamaanisha mvua huwa inapinda?
hapana mua una grisi ambayo waweza kuweka kwenye vyuma ambavyo kwa sasa vimekaza.Ivi mua unasukari?
Nashukuru sana mkuuhapana mua una grisi ambayo waweza kuweka kwenye vyuma ambavyo kwa sasa vimekaza.
ndio binadamu ana mkiaIvi binadamu ana mkia kweli??
Inatumia grisshivi baiskeli huwa inatumiaga mafuta eeeh?
Ndio anao unaitwa COCCXY ulikatika vile ulikuwa hauna matumizi.Hata wewe chukua mkono wako mmoja ufunge kwa kamba umeukunja kaa mwaka mzima ukiufungua utakuta umekufa.Lamarck theorem the law of use and misuse.Ivi binadamu ana mkia kweli??
Wapelekee jez yoyote but chunga sana usijekutana na simba jikeZile jez wanazovaa Simba sports club huwa ni nyekundu au kijan?
Fungua nyuma tukuonyeshe pingili inapowekwa haja yote itaisha dkk 0[emoji125]Jaman kunachoo humu nijisaidie