Na wewe unapigwaga BAN???Ban mbaya sana, laptop iligoma kulog out niiingie na fake ya fake account
hio microscope ndio yale majembe ya kichagga?Tumia microscope utayaona.
Anagawa vizuriii tuUkiona mkeo anakunyima ppchi mwaka mzima hivi atakua hagawi nje??
teh teh teh tehNdio inatumia mawese
Hapana mimi sio mdomo,mimi ni kirikuu.comKwani wewe kirikuu ni mdogo?
Africa union(AU)Inasema AU is searching
Chemsha maji ya moto kisha jimwagie kichwani.itaongezeka tyuMsaada jinsi ya kuongeza 0 kwenye 100 nipate 1000!.
Hapana ni mbege ya kichagahio microscope ndio yale majembe ya kichagga?
Anagawa vibaya ndio maana anampa kila mtu aendeshe gar lakeAnagawa vizuriii tu
Hapana ile ni maalumubkwa ajili ya kufulia nguo zenye madoaHivi KY Jelly unaweza kupikia?
NjombeHivi wanaume wa Dar wanaishi wapi.
Oyo mdau nimerudi kutoka lupango ya jfNjombe
Unanichokoza???
Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi.
Warning: Hakuna kutukanana!
Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni mtu halisi au ni sanamu?