Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Msaada jinsi ya kuongeza 0 kwenye 100 nipate 1000!.
 
Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi.

Warning: Hakuna kutukanana!

Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni mtu halisi au ni sanamu?


Hivi nzi analala wapi?
 
Ushoga uliokithiri kwa vijana na wanaume wa Dar eti chanzo ni bongo fleva? Na kwa nini vijana wengi wa bongo fleva wanajighulisha na huu mchezo wa kuchezeana makalio?
 
Back
Top Bottom