Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi.

Warning: Hakuna kutukanana!

Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni mtu halisi au ni sanamu?

Kwenye falsafa hakuna swali la kijinga, it is rather the perceived perceptional level of the audience to digest the question.
 
Back
Top Bottom