Kijaka mpaka feri au daraji ni km ngapi mkuu? Kuna huduma za maji na UMEME karibu?Kipo mtaa wa kijaka, kata ya Kimbiji. Square meters 1104 kina hati kabisa. Bei ni 5M tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sofa ushauza au bado zipo?Nyumba hii inapangishwa ipo mivumoni ya madale kodi ni 250k kwa mwezi inalipwa miezi 3&3 tuu pia masofa hayo yanauzwa 300k.View attachment 1305591View attachment 1305596
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mbioni kuhama shinyanga.Hizo sofa nimezipenda sema naishi shinyanga, hivyo kuzisafirisha ni gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
weka pichaNipo mbioni kuhama shinyanga.
Njoo nikuuuzie TV flat aina ya sinsung na dstv yake kwa pamoja.
Si unamlipisha hela ya ufagizi,Ama utamuonea aibu kumlipishaUnajua wapangaji wa kiume hua hawafanyagi usafi
Nyumba hii inapangishwa ipo mivumoni ya madale kodi ni 250k kwa mwezi inalipwa miezi 3&3 tuu pia masofa hayo yanauzwa 300k.View attachment 1305591View attachment 1305596
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo?Nyumba hii inapangishwa ipo mivumoni ya madale kodi ni 250k kwa mwezi inalipwa miezi 3&3 tuu pia masofa hayo yanauzwa 300k.View attachment 1305591View attachment 1305596
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naitajiMimi siyo dalali
Kwa anayehitaji chumba au kiwanja DODOMA NITAMPA MWONGOZO HAPAHAPA
Budget yako?Natafuta chumba maeneo ya kuanzia barabara ya survey, Mwenge, morocco mpaka Mbuyuni. Dalali anaruhusiwa
Budget yako?Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Kinyerezi, Maramba Mawili hadi Mbezi Msigani.
SIFA:
vyumba viwili vya kulala kimoja master.
Isiwe mbali na Barbara ya Mbezi-Kinyerezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Km haujapata bdo nichek PMNahitaji chumba kimoja au master maeneo ya ubungo riverside
100,000Budget yako?
Naomba namba yakoKama unatafuta chumba bila dalali,utamaliza sori za viatu.
Kwa Msasani,Mikocheni,Ubungo,Temeke,Sinza,Kigamboni,Kimara,Mbezi ,Tegeta ,Tabata n.k tuwasiliane unisaidie ili nikusaidie kupata chumba,apartment,frem,nyumba ya kupanga au kununua.
Nshakutumia100,000