Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Nahitaji chumba kimoja au master maeneo ya ubungo riverside
 
Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Kinyerezi, Maramba Mawili hadi Mbezi Msigani.

SIFA:
vyumba viwili vya kulala kimoja master.
Isiwe mbali na Barbara ya Mbezi-Kinyerezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza bro hv msasani maandaz road au general tyre naeza nkapata chumba 30 cheny maj na umeme??

yess BiShoo haswaaAaa
 
Kama unatafuta chumba bila dalali,utamaliza sori za viatu.

Kwa Msasani,Mikocheni,Ubungo,Temeke,Sinza,Kigamboni,Kimara,Mbezi ,Tegeta ,Tabata n.k tuwasiliane unisaidie ili nikusaidie kupata chumba,apartment,frem,nyumba ya kupanga au kununua.
 
Naomba namba yako
 
Back
Top Bottom