figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,301
Urusi wwmenyoka. Helkopta ilikuja angani, umerudi imebebwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Taarifa za huu Uzi unazipata wewe tu.Kansela wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Boris Bondarev amejiuzulu na kulaani vita vya Urusi dhidi ya Ukraine. Amesema yote inasababishwa na tamaa ya Madaraka
View attachment 2236423
Hii nimesikia BBC leo asubuhi,taarifa ya wanajeshi wanaogoma ndo naiona humu na kama ni ya kweli kwa udikteta wa Kremlin aliyegoma kuuwawa ni sekunde.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Taarifa za huu Uzi unazipata wewe tu.
Hawawezi kuwaua. Wana sababu za Msingi kuliko wale wanaojisalimisha kwa Ukraine kisa wameishiwa Risasi. Hawa wanasema hawakupewa mafunzo ya kupambana Frontline sababu kuna silaha hawajui kutumia kilichopeleka 40% ya wanajeshi wenzao kuuawa na Azov Huko Mariupol. Hadi Urusi ikapeleka kikosi cha Somalia Brigades kuwasaidia pamoja na ChechenHii nimesikia BBC leo asubuhi,taarifa ya wanajeshi wanaogoma ndo naiona humu na kama ni ya kweli kwa udikteta wa Kremlin aliyegoma kuuwawa ni sekunde.
Mkuu, mimi kuwa na taarifa za Ukraine ni kawaida, na ninapost robo ya taarifa hizo🤣🤣. Labda ungesema taarifa zangu za uongo na ukaleta ukweli kunishushua ndo ingekuwa hoja.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Taarifa za huu Uzi unazipata wewe tu.
Jamaa kaamua kutoa nyongo,amevumilia ameona imetosha sasaKansela wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Boris Bondarev amejiuzulu na kulaani vita vya Urusi dhidi ya Ukraine. Amesema yote inasababishwa na tamaa ya Madaraka
View attachment 2236423
BBC jana walitangaza.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Taarifa za huu Uzi unazipata wewe tu.
Hahaha! Inaweza kuwa ndo king'ora kimelia au..Ngoja sisi huku Umasaini tuanze kuchimba vile vihandaki vyetu vidogodog i.e kiny-kinyiKwa hiyo wanataka atoe vikosi vyake Ukurein vipi Kweli Putin alivokibuli atafanya hivo kweli?Je kifuatacho nini ngoja muda utupe majibu
🤣 🤣 🤣 Kumbe Penye kifo hakuna cha mbabe wala masihara. Fight or Flight. You choose the best option immediately without delay. Kifaru cha nin bhana!?Yaani nimecheka sana jinsi Warusi walivyokuwa wanakimbia baada ya kifaru chao kulipuliwa
View attachment 2236198
Oh, very simple bro. Wakiwaona au wakiweza, wawaambie wa-Ukraine kuwa "tuko huku jamani njooni mtuteke - mtuchukue mateka. Sisi hatutaki kupigana tena na nyie Tumechoka". 😂URUSI WASUSA KUPIGANA DONETSK
Kikosi cha 3rd rifle battalion cha 105th rifle regiment wa DPR, wamegoma kupigana Donetsk kwa kile wanachodai hawakupewa mafunzo ya kutosha ya Kijeshi ya kupambana Frontline sababu wengi wao ndo wametoka Vyuo. Pia wanadaia 40% ya Kikosi chao Walikufa Mariupol, na sasa wanapelekwa Donetsk ambao wanajeshi wa kikosi hiki wanaendelea kufa. Wanadai wengi hawajapimwa afya kama Sheria ya Jeshi inavyosema hivyo baadhi wana magonjwa. Wamesema wataendelea kulinda nchi kama kiapo chao kilivyo.
View attachment 2236419