Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ila hatukati tamaa. Tutaretreat tujipange upya. Tumeanza kutumia Switchblade 300 za Marekani. Hawa Warusi hatuwezi kubali watutawale
Your browser is not able to display this video.
 
Na wanafadhiriwa. Sema wapo Belgorod, wanapiga kazi Usiku mchana wanarudi Ukraine. Tatizo wanaijua Urusi na washatengeneza mtandao nchi mzima. Wanaharibu Viwanda vya Urusi
View attachment 2238667
Hakuna kitu kibaya kama unapigana vita na nchi nyingine halafu ndani ya nchi yako kuna vita nyingine inaendelea, ni mbaya sana Putin anapigana vita mbili kwa wakati mmoja.

Kuna mambo mengi ya chini kwa chini yanaendelea ambayo hatuambiwi. Kumbe mwezi February huko Caucus Putin chupu chupu auawe ni baada ya kutangaza kuivamia Ukraine. Mpango huo ulifail.

Bado wanasema mapinduzi ya kijeshi ni lazima na hayatasitishwa mpaka atakapotolewa madarakani, mpinzani wake kahukumiwa miaka 9 jela.

Nikiunganisha dots hawa LEGION ndio kitu wanataka kufanya,huyu mpinzani wa Putin kama wasipomuua sasa hivi huenda akaja kuwa Rais kwasababu bado ni kijana 45 yrs of age bado sana na anakubalika Urusi.
 
Ile iliondoka Jumamosi. Kuna Mzigo Marekani walileta, meli za Urusi nyingi zimesepa pale v
Black Sea
Kumbe waliogopa kupigwa, na zingezamishwa zote. Jamaa hajui kama anarudi nyuma kwa kasi sana.
 
Msikilize dogo. Wana morali ya kupigana. Video kaichukua akiwa Frontline karibu kabisa na wavamizi
Your browser is not able to display this video.
 
Frontline ni roho mkononi. Siku ikiisha salama unamshukuru Mungu. Risasi inafika muda wowote wakati wowote
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…