Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa kuna mchezo siyo bure,ndani ya Urusi wana uniform za jeshi kabisa, kama secret service inajua kwanini isiwajue na kuwaneutralize? Kuna agenda ya siri inaendelea.
Na wanafadhiriwa. Sema wapo Belgorod, wanapiga kazi Usiku mchana wanarudi Ukraine. Tatizo wanaijua Urusi na washatengeneza mtandao nchi mzima. Wanaharibu Viwanda vya Urusi
 
Hizi Silaha zinachanachana gari kama karatasi
20220525_224259.jpg
 
Hapa Mrusi hakatizi. Jeshi si lelemama
 
Usikute haya ni mahsusi kwa ajili ya ile meli ya Urusi ya nuclear power ambayo inazalisha umeme wa megawat 70 na unaweza kuhudumia wakazi zaidi ya 100,000 kwa wakati mmoja.

Ikizamishwa watakuwa wamepata hasara kubwa sana.
Ile iliondoka Jumamosi. Kuna Mzigo Marekani walileta, meli za Urusi nyingi zimesepa pale v
Black Sea
 
Tukishajua Urusi wamelala wapi, hatusubiri kukuche. Tunawapelekea moto
 
Naipenda hii Silaha ya Ukriane aina ya Stugna-P.

Usipige kelele, Warusi watajua tumejificha wapi
 
Israeli wamezingua. Hawataki hizi Silaha zenye Teknolojia yako kuletwa Ukraine. So Marekani wamesema wanaleta aina nyingine. Atakejua kwanini Israel imemkataza Marekani asilete huu mzigo atujuze. Bado nafuatilia
20220526_013023.jpg
 
Back
Top Bottom