Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220525_054752.jpg
 
Kikosi cha Urusi cha 107th Infantry Regiment ambacho kipo Donetsk, kimegoma kwenda kupigana Luhansk.

Hii ni faida kwetu, wajiunge na LEGION Wamtandike Putin.

NB: Wenyewe eti hii Mikoa wanaiita Donetsk People's Republic (DPR) na Luhansk People's Republic (LPR). Hii ni Mikoa ya Ukraine ambayo Urusi wanadai imejitenga kutoka Ukraine. Ndicho chanzo cha Vita eti wamekuja kuwasaidia kutoka kwenye Makucha ya Ukraine sababu ni mataifa huru.
View attachment 2237564
Hapa itabidi wajiunge na jeshi la Ukraine tu maana Putin akiwakamata anaweza kuwaua kwamba ni wasaliti. Kwahiyo kuna vikosi viwili 105 na 107 vyote ni kama haviko tayari kupigana vita.
 
Ukraine imeshukuru Waandishi wa habari waliopo Frontline kwa kueleza Dunia kile kinachojiri Ukraine. Kuna Wanahabari zaidi ya 8700 Ukraine wanaoripoti Vita
View attachment 2237605
Hakika wamejitolea na kufanya kazi iliyotukuka. Kongole kwao kwa kutuhabarisha habari za vita japo wanafanya kazi katika mazingira magumu na hatarishi.
 
Usikute haya ni mahsusi kwa ajili ya ile meli ya Urusi ya nuclear power ambayo inazalisha umeme wa megawat 70 na unaweza kuhudumia wakazi zaidi ya 100,000 kwa wakati mmoja.

Ikizamishwa watakuwa wamepata hasara kubwa sana.
Ikipigwa Urusi atakasirika na kuamua liwalo liwe
 
Aiseee [emoji848][emoji848][emoji2955] vita siyo nzuri hata kidogo. Watoto wa watu wanakufa bure huku walio amuru/kuianzisha wapo kwenye kiyoyozi wanakunywa kahawa na starehe nyingine wanaburudika.
Damu ya watoto wa watu wanaokufa bure itakuwa inawalilia siku zote walioamuru au kuanzisha vita hiyo - Putin 😭.
 
Hapa itabidi wajiunge na jeshi la Ukraine tu maana Putin akiwakamata anaweza kuwaua kwamba ni wasaliti. Kwahiyo kuna vikosi viwili 105 na 107 vyote ni kama haviko tayari kupigana vita.
Chap! Wajiunge na LEGION. 😳
 
Ikipigwa Urusi atakasirika na kuamua liwalo liwe
Yaani hapa ndipo pana shida,ila naye anajua akifyatua tu NATO hawamuachi kwahiyo kuna hasara ataisababishia Russia, Warusi hawako tayari nchi yao kufanywa majivu. Iepukike kufikia huko kwa kweli dunia yetu bado nzuri watu wanahitaji kufurahia maisha na siyo kuharibu furaha ya dunia kwa maslahi ya mtu mmoja.
 
Mnyang'anyi mwingine anayeitwa Tupitsyn alikwenda kuzimu jana.

Licha ya idadi ya simu, askari huyo hawasiliani tena na michepuko🤣🤣
IMG_20220525_123205_754.jpg
IMG_20220525_123208_283.jpg
 
Yaani Makombora zaidi ya 10, Warusi wameshindwa kuilenga hili gari la Jeshi la Ukraine. Vifaa vyao havina shabaha.
 
Komando wa kikosi cha Kadirovs, kalala peponi Kamanda. Alikua anajifanya jeuri sana. SMG imetengenezwa kumuua binadamu. Unapoona bunduki, jua ni kaajili ya kuua binadamu.

Palipoandikwa ZSU, jua ni Jeshi la Ukraine. ZSU ndo wamemneutralize
Screenshot_20220525-125317.png
 
Ngekewa: Huyu ni akari wa Ukraine, Butusov Plus. Alikamamatwa Mkoani Chernihiv na Wenzake 8, Wakateswa sana. Wakati wanamhamisha, kifaru walichotumia kumhamisha kikalipuliwa na Ukraine bila kujua. Wakafa Askari waliokuwa wanawasafirisha. Wote tisa waliokuwa mateka wakapona na kutokomea vichakani. Leo kakutana na wenzake tena ndani ya siku mbili.
Screenshot_20220525-144500.png
 
Back
Top Bottom