figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bayraktar yenyewe ndo hii. Ni drone ambayo inawasaidia sana Ukraine. Inatengenezwa UturukiWanajeshi wa Mataifa Mchanganyiko waliopo Ukraine, wakiimba wimbo wa
Bayraktar
View attachment 2235082
Hapo kuna mtu alikuwa amekaa ndani, hizi silaha ni za tofauti na zina nguvu kubwa kifaru kinakuwa kama box wakati kimetengenezwa kwa chuma.
Aiseee [emoji848][emoji848][emoji2955] vita siyo nzuri hata kidogo. Watoto wa watu wanakufa bure huku walio amuru/kuianzisha wapo kwenye kiyoyozi wanakunywa kahawa na starehe nyingine wanaburudika.
Hapa itabidi wajiunge na jeshi la Ukraine tu maana Putin akiwakamata anaweza kuwaua kwamba ni wasaliti. Kwahiyo kuna vikosi viwili 105 na 107 vyote ni kama haviko tayari kupigana vita.Kikosi cha Urusi cha 107th Infantry Regiment ambacho kipo Donetsk, kimegoma kwenda kupigana Luhansk.
Hii ni faida kwetu, wajiunge na LEGION Wamtandike Putin.
NB: Wenyewe eti hii Mikoa wanaiita Donetsk People's Republic (DPR) na Luhansk People's Republic (LPR). Hii ni Mikoa ya Ukraine ambayo Urusi wanadai imejitenga kutoka Ukraine. Ndicho chanzo cha Vita eti wamekuja kuwasaidia kutoka kwenye Makucha ya Ukraine sababu ni mataifa huru.
View attachment 2237564
Hakika wamejitolea na kufanya kazi iliyotukuka. Kongole kwao kwa kutuhabarisha habari za vita japo wanafanya kazi katika mazingira magumu na hatarishi.Ukraine imeshukuru Waandishi wa habari waliopo Frontline kwa kueleza Dunia kile kinachojiri Ukraine. Kuna Wanahabari zaidi ya 8700 Ukraine wanaoripoti Vita
View attachment 2237605
Ikipigwa Urusi atakasirika na kuamua liwalo liweUsikute haya ni mahsusi kwa ajili ya ile meli ya Urusi ya nuclear power ambayo inazalisha umeme wa megawat 70 na unaweza kuhudumia wakazi zaidi ya 100,000 kwa wakati mmoja.
Ikizamishwa watakuwa wamepata hasara kubwa sana.
Damu ya watoto wa watu wanaokufa bure itakuwa inawalilia siku zote walioamuru au kuanzisha vita hiyo - Putin 😭.Aiseee [emoji848][emoji848][emoji2955] vita siyo nzuri hata kidogo. Watoto wa watu wanakufa bure huku walio amuru/kuianzisha wapo kwenye kiyoyozi wanakunywa kahawa na starehe nyingine wanaburudika.
Chap! Wajiunge na LEGION. 😳Hapa itabidi wajiunge na jeshi la Ukraine tu maana Putin akiwakamata anaweza kuwaua kwamba ni wasaliti. Kwahiyo kuna vikosi viwili 105 na 107 vyote ni kama haviko tayari kupigana vita.
Yaani hapa ndipo pana shida,ila naye anajua akifyatua tu NATO hawamuachi kwahiyo kuna hasara ataisababishia Russia, Warusi hawako tayari nchi yao kufanywa majivu. Iepukike kufikia huko kwa kweli dunia yetu bado nzuri watu wanahitaji kufurahia maisha na siyo kuharibu furaha ya dunia kwa maslahi ya mtu mmoja.Ikipigwa Urusi atakasirika na kuamua liwalo liwe