Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Muziki wa Frontline. Hawa ni Wanajeshi wa Kujitolea
Your browser is not able to display this video.
 
Huu mtambo upo kwa kazi. Hii ni howitzer kutoka Finland zao la Ufaransa
Your browser is not able to display this video.
 
Silaha aina MLRS za Marekani. Ndo mzigo mpya Marekani wanapanga kuleta Ukraine. Wachambuzi wabasema, huu mzigo ni balaa. Utabadilisha game. Nawaonea huruma Urusi.
View attachment 2240634View attachment 2240635
Na hii silaha Ukurein kamwomba USA muda mrefu Sana naona kakubaliwa na Hilo ni pigo kubwa kwa Rusia.Ni silaha nzito zinapiga Kwa shabaha kubwa na kuhalibu Kila kitu Cha adui.
 
Eti Putin ni Mtu kujichanganya na raia. Wakati anajichanganya na watu wale wale kwaajili ya propaganda
 
Ndege za Ukraine aina ya Su-25 zikisaidia wanajeshi wetu walio Frontline mkoani Donbas
Your browser is not able to display this video.
 
Na hii silaha Ukurein kamwomba USA muda mrefu Sana naona kakubaliwa na Hilo ni pigo kubwa kwa Rusia.Ni silaha nzito zinapiga Kwa shabaha kubwa na kuhalibu Kila kitu Cha adui.
Hata wewe usingetoa kirahisi huu mzigo. Zile sila za kwanza zililetwa zikayelekezwa kwenye godauni urusi Wakajiokotea. So walikuwa wanaogopa usiangukie mikononi mwa Adui. Sasa hivi kuna Wamarekani wengi Ukraine. Wanalinda vifaa vyao visitekwe. Wanahofia kuibiwa technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…