figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #2,461
Yeah, ni missileDah, frontline ni hatari kwakweli. Hilo ni kombola na sio risasi
Hizi mambo hizi unatakiwa ukae kwa kutulia sana lasivyo mchana kweupe unaumbuka, sasa walizipataje hizi picha?Hawa jamaa ni Walinzi wa Putin, lakini Putin alipoenda kutembelea hositali, eti nao wakaenda kujifanya Wagonjwa akawa anasalimiana nao na kuwapa pole akijifanya ana huruma
View attachment 2240651
Ndio na mimi nimeshangaa hapo,kuna watu wanacheza naye hatua kwa hatua.kwahiyo putin ameamua ajitekenye mwenyewe
Kwa jinsi hali yake ilivyo tete ndani ya nchi yake hawezi kujiachia achia kirahisi namna hii.Eti Putin ni Mtu kujichanganya na raia. Wakati anajichanganya na watu wale wale kwaajili ya propaganda
View attachment 2240950View attachment 2240951
Baada ya hapo ni nini kama siyo kuamua kuweka silaha chini au kuretreat?Unit yote ya Jeshi la Urusi Mkoani Kharkiv, leo wamegoma kwenda Frontline, Wanalalamika Silaha zao kuwa duni.
View attachment 2240962
Na mahasimu wao wakuu ni China, Russia, Iran na North Korea, na huko Ukraine watakuwepo wengi tu kufuatilia vita inavyoendelea na kuchunguza silaha zinazotumika ili waibe teknolojia.Hata wewe usingetoa kirahisi huu mzigo. Zile sila za kwanza zililetwa zikayelekezwa kwenye godauni urusi Wakajiokotea. So walikuwa wanaogopa usiangukie mikononi mwa Adui. Sasa hivi kuna Wamarekani wengi Ukraine. Wanalinda vifaa vyao visitekwe. Wanahofia kuibiwa technology
Jamaa yupo Kremlin katulia anakula good time huku Generals and soldiers wake wanakukufa tu.Kale ka Major General kao kanakoitwa
Yuri Svedovoy kamekukufa. Kamerudi Urusi ndani ya mfuko wa plastic
View attachment 2241209
Urusi atakuwa anashangaa hizo silaha zafikaje fikaje hapoHaya Magari, Silaha na Risasi ni msaada kutoka Italy
View attachment 2242325View attachment 2242326View attachment 2242327View attachment 2242328