figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #2,961
ToroNikijisikia kucheka nakuja kwenye uzi huu nachekaaaa kisha nalala zangu.
Mtu anajipa maelezo yeye mwenyewe, anacheka, anacomment, anaquote mwenyewe dah vituko sana hivi.
Mkuu hii niliiweka hiyo JuzMajor Kushenko Yevgeny kuotka Novosibirsk kutoka Urusi kakukufa. Taarifa nimepata leo ila alikufa juzi Alhamis
View attachment 2265101
Ulifanya vizuri kuweka kumbukumbu sawaMkuu hii niliiweka hiyo Juz
Walishaona Urusi hana madhara ndo maana Wamekija full. Marekani wamsema Urusi ilikiwa overrated kwa uwezo wa Silaha.July lazima Warusi wataikimbia Ukureine kwa Sababu maandalizi ya kuleta siraha kutoka westerners yanakamilika mwezi huu na muda huo NATO ndo wataingia moja kwa moja kuwasaidia Ukerein.Maafa kwa Urus yatakua makubwa Sana .