Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Olga ana miaka 19. Ni tabibu Frontline. Alikuwa anasomea mambo ya madawa kabla ya Vita. Anawatibia Mashujaa wetu
20220618_062236.jpg
 
Tumewafurumusha Urusi wakaacha kifaru. Ikabidi tuanze kukitumia kuwakimbiza warudi kwao
 
Hapa ni Severodonetsk. Hiki ni kikosi cha Wanajeshi waliokuja Kujitolea Ukraine. Wanaitwa International Legion. Wapo fit balaa. Ila mimi naona Vita ya Mjini kwenye majengo ni ngumu kuliko ya Msituni. Hawa wapo Frontline
 
Hapa ni Rubizhne. Urusi walipozidiwa wakatelekeza Vifaru na kupanda gari ndogo wasepe. Ikabidi Wasindikizwe na RPG. Wote wamekufa. Urusi Wakizidiwa wanapanda V8 na kusepa. Popote walipo nyuma kuna V8 za kutosha.
 
Nikijisikia kucheka nakuja kwenye uzi huu nachekaaaa kisha nalala zangu.

Mtu anajipa maelezo yeye mwenyewe, anacheka, anacomment, anaquote mwenyewe dah vituko sana hivi.
 
Back
Top Bottom