Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mbwa wetu kajeruhiwa Frontline. Alikuwa akinusa Warusi walipo. Ila atapona tu, kalazwa na doctor kasema anaendelea vizuri.
 
Wanajifanya kukimbilia mitaani. Tumepata mbinu mpya ya kuwafukuzia Warusi
 
Wakuu Vitani kuna mambo mengi. Kuna siku ya kufurahi na siku ya kusikitika. Frontline ni kifo ama Uhai. Leo tumepoteza mazima. Tangu Vita ianze, sijawahi kushuhudia wanajeshi wetu wanakufa kwa wakati mmoja sehemu moja. Tumepoteza wanajeshi wetu 8 ndani ya nusu saa kwenye handaki moja. Imeniuma sanaa... Hadi mood imeisha. Wapumzike kwa amani. Haijalishi Urusi wamekufa wengi kiasi gani. Tukipoteza inaniuma sana. Hawa watano waliosalia wamejitetea hadi Urusi wakakimbia. Wangetumaliza. Vita ina mengi
 
M
Wakuu Vitani kuna mambo mengi. Kuna siku ya kufurahi na siku ya kusikitika. Frontline ni kifo ama Uhai. Leo tumepoteza mazima. Tangu Vita ianze, sijawahi kushuhudia wanajeshi wetu wanakufa kwa wakati mmoja sehemu moja. Tumepoteza wanajeshi wetu 8 ndani ya nusu saa kwenye handaki moja. Imeniuma sanaa... Hadi mood imeisha. Wapumzike kwa amani. Haijalishi Urusi wamekufa wengi kiasi gani. Tukipoteza inaniuma sana. Hawa watano waliosalia wamejitetea hadi Urusi wakakimbi. Wangetumaliza. Vita ina mengi
View attachment 2264057
Maeneo gani au Donetsk
 
Hapa ni Popasna na hili Lori ni Kamaz ya Warusi
 
Mastiff vehicle za UK
20220618_060004.jpg
20220618_060000.jpg
20220618_055958.jpg
20220618_055955.jpg
 
Captain Serhii Ponomarenko kawa Shujaa na kupewa tuzo, baada ya kupambana na Warusi wenye vifaru 20 na kuwashinda akiwa na vifaru 6 tu. Na hakuna kifaru chake kilichoharibiwa. Huku Kikosi chake kikifanikiwa kuharibu vifaru 9 vya Urusi.
20220618_060719.jpg
20220618_060722.jpg
 
Tumeteka Kifaru cha Urusi aina ya MT-LB kikiwa na hali nzuri. Kinatembea chenyewe
 
Hapa ni Kherkyiv. Urusi tumewapelekea moto balaa..
 
Back
Top Bottom