Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
USA wanaendelea kuwasaidia Ukurein na Sasa hivi wanatoa msaada wa kijeshe wenye thamani ya dollar billion 1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Title ya uzi inajieleza mkuu.
Donbas tunatakiwa tupate silaha zenye nguvu. Zimeshaingia Nchini japo hazijafika Donbas. Mapambano ni makali kwani tunashambuliana kwa zamu. Juzi tulitegua Mtego wa Urusi, kidogo watutoe roho. Hawa Warusi wametupania balaa. Tunawashukuru LEGIONMkuu tunashukuru Sana kwa kuendelea kutuletea updates za vita ya Ukuraine ubarikiwe Sana.Vipi mapambano yanayoendelea Donabos unayaonaje Mana ndo yatakayoamua muelekeo wa vita
Ha haaa!!!
Na Leo NATO under USA wamesema muda wowote wanaingilia kati kimsaidia Ukurein.Donbas tunatakiwa tupate silaha zenye nguvu. Zimeshaingia Nchini japo hazijafika Donbas. Mapambano ni makali kwani tunashambuliana kwa zamu. Juzi tulitegua Mtego wa Urusi, kidogo watutoe roho. Hawa Warusi wametupania balaa. Tunawashukuru LEGION
Mkuu Habari ya Azot plant Sijaona ukiiandika na wakati Zele katoa amri wanajeshi wote waliokwama kwenye hicho kiwanda wafanye ku-surrenderMajeshi yetu yakisonga mbele huko Donbas. Hawa ni Frontline. Hilo gari la Kimarekani hapo mbele ambalo lipo kama Hummer si Hummer, haya Magari ya Kimarekani yanaitwa Humvee. Sijui hizi Humvee zimeingia lini Ukraine.
View attachment 2263097
Kuna uzi mwingine humo naona pro russia ni wengi huko wakishindwa hoja wanaleta matusi.Mkuu wapi ulitukanwa