figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,821
Pentagon wamesema, sasa Marekani ipo tayari kuipa Ukraine kila aina ya Silaha wanayoitaka ili Waipige Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fake I'm near by to this areaURUSI: Ghala la Silaha, Risasi na Vifaa jeshi, linateketea kaa moto. Hapa ni Klintsy Mkoani Bryansk. Km 50 kutoka Ukraine.
View attachment 2260593
Hii Helkopta umeiona baada ya kutokea Mlipuko? Ukijibu nitajua ka upo Klintsy au laFake I'm near by to this area
Tunamsubiri aje mkuu.Hii Helkopta umeiona baada ya kutokea Mlipuko? Ukijibu nitajua ka upo Klintsy au la
View attachment 2260664
Mkuu tunashukuru Sana kwa kuendelea kutuletea updates za vita ya Ukuraine ubarikiwe Sana.Vipi mapambano yanayoendelea Donabos unayaonaje Mana ndo yatakayoamua muelekeo wa vitaZelensky amesema Mji wa Mariupol utakombolewa tena kwa mara ya tatu. Haitakuwa mara ya kwanza Urusi wanafurumushwa kwenye huu Mji. Tunajipanga
View attachment 2260669