Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

USA wanaendelea kuwasaidia Ukurein na Sasa hivi wanatoa msaada wa kijeshe wenye thamani ya dollar billion 1.
Screenshot_20220616-153356.jpg
 
Mkuu tunashukuru Sana kwa kuendelea kutuletea updates za vita ya Ukuraine ubarikiwe Sana.Vipi mapambano yanayoendelea Donabos unayaonaje Mana ndo yatakayoamua muelekeo wa vita
Donbas tunatakiwa tupate silaha zenye nguvu. Zimeshaingia Nchini japo hazijafika Donbas. Mapambano ni makali kwani tunashambuliana kwa zamu. Juzi tulitegua Mtego wa Urusi, kidogo watutoe roho. Hawa Warusi wametupania balaa. Tunawashukuru LEGION
 
Wanajeshi wetu hawapanic kama wa Urusi. Na tunajiamini sana so tukipata muda tunaburudika
 
Donbas tunatakiwa tupate silaha zenye nguvu. Zimeshaingia Nchini japo hazijafika Donbas. Mapambano ni makali kwani tunashambuliana kwa zamu. Juzi tulitegua Mtego wa Urusi, kidogo watutoe roho. Hawa Warusi wametupania balaa. Tunawashukuru LEGION
Na Leo NATO under USA wamesema muda wowote wanaingilia kati kimsaidia Ukurein.
 
Angalia Vifaru vya Urusi aina ya BMP-2 vilivyo lipuliwa na Stugna-P anti-tank missile. Sina uhakika kama ni Stugna-P ya huyo dada niliyempost hapo
 
Hiki kijiji kipo Mkoani Kherson, Baada ya Warusi kuzidiwa, wameacha wameboabomoa nyumba the.n Wakakimbia. Leo tumewanyang'anya maeneo mengi japo tunapungukiwa na Siraha za Masafa marefu (long range weapons) ila hadi Jumamosi wanajeshi wa Kherson na Donbas watakuwa wameshapokea Mzigo kwani Ushaingia.. Kinachofanya ni utaratibu wa kuzipeleka Frontline. Kuwapelekea Silaha Askari wa Mstari wa mbele huwa ni kazi sababu saa nyingine zinaangukia Mikononi mwa Adui.
 
Majeshi yetu yakisonga mbele huko Donbas. Hawa ni Frontline. Hilo gari la Kimarekani hapo mbele ambalo lipo kama Hummer si Hummer, haya Magari ya Kimarekani yanaitwa Humvee. Sijui hizi Humvee zimeingia lini Ukraine.
 
View attachment 2263097
Mkuu Habari ya Azot plant Sijaona ukiiandika na wakati Zele katoa amri wanajeshi wote waliokwama kwenye hicho kiwanda wafanye ku-surrender

figganigga
 
Hawa ndo Wale Azov waliofanikiwa kutoroka Azovstal kule Mariupol. Wamerudishwa Darasani. Hapa Wanafundishwa kutumia Silaha mpya za kisasa za Marekani. Hii ni wiki ya Pili. Labda Jumatatu wanaweza ingia mzigoni Frontline
 
Back
Top Bottom