figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,041
Hapa ni Mkoani Kharkiv, Warusi 23 Wamekufa, 50 wamejeruhiwa na Unit 10 zimeharibiwa vifaa vyao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmezilipua TANDALE au Mtongani???Missile launchers za Urusi tumezilipua
View attachment 2267300
Acha makasiriko.Mmezilipua TANDALE au Mtongani???
Ahahaha jamaa anajicomment mwenyewFigganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Mkuu kwani ao viongozi walio kufa awajulikani? Lete picha ata ya kiongozi mmojaWe figganigga cjui ni mtu gani husomi TAARIFA Nini mzee unajikoaha na vipicha hivo ahahaha Leo Wakuraine wako wamelipuliwa viongozi 50 wakiwa wanafanya mkutano... Mbn hizo huziposti...
Akileta kama za figganiga nistueMkuu kwani ao viongozi walio kufa awajulikani? Lete picha ata ya kiongozi mmoja
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Achaneni naye. UKraine ni kubwa kiasi gani hadi ifanye Mkutano wa Majenerals mpakani mwa Urusi na Ukraine. Generals 50 wawe sehemu moja Mpakani? Basi hadi rais kafa. Nami nasubiri picha japo ya Generals watano tu. Achilia mbali 50.Akileta kama za figganiga nistue