Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

We figganigga cjui ni mtu gani husomi TAARIFA Nini mzee unajikoaha na vipicha hivo ahahaha Leo Wakuraine wako wamelipuliwa viongozi 50 wakiwa wanafanya mkutano... Mbn hizo huziposti...
 
Figganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Ahahaha jamaa anajicomment mwenyew
 
We figganigga cjui ni mtu gani husomi TAARIFA Nini mzee unajikoaha na vipicha hivo ahahaha Leo Wakuraine wako wamelipuliwa viongozi 50 wakiwa wanafanya mkutano... Mbn hizo huziposti...
Mkuu kwani ao viongozi walio kufa awajulikani? Lete picha ata ya kiongozi mmoja

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…