Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Eti barabara inaishia kichakani. Hata kama sio Soja utakua kuna kitu hapo kichakani🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
figganigga una roho ngumu sana. 98% ya post za huu uzi ni zakwako. Hayo yote yaliyotokea huko ukraine kwenye vita ni jambo la kawaida kabisa. Sasa pamoja na hasara wlizopata russia, ukraine kapata asara mara 5 tano zaidi.
 
Huyu ni General Staff wa Muscovy Urusi. Ngoja nitafute Video yake. Kala makofi ya kutosha hadi damu inatokea masikioni🤣🤣. Kadakwa leo baada ya kuua walinzi wake. Ukisikia General kakamatwa, jua kuna Wanajeshi kadhaa zaidi ya 8 wamekufa naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…