Kwani lazima uangalie? Unaweza kuta Mimi baba yako.Acha mabishano ya kitoto,hujazuiliwa ku-posti kama inakufurahisha endelea.
Unaweza kuta mimi ni mumeo piaKwani lazima uangalie? Unaweza kuta Mimi baba yako.
Mume wa Mama yako ni Baba yako, Ndio Mimi.Unaweza kuta mimi ni mumeo pia
Huna akili weweMume wa Mama yako ni Baba yako, Ndio Mimi.
Naunga mkono hoja. Yes, Hususan Mrusi MVAMIZI.Maiti ya Mrusi ina faida gani?Wacha aposti tu as long as ni Mrusi.
Yeye kama yeye hafaidiki ila sisi wasomaji na watazamaji wa uzi huu tunapata habari za kuaminika za kile kinachoendelea.Unapo-posti picha za maiti zilizoharibika vibaya unafaidika na nini?
Umejuaje nilikuwa sijui ?Je huoni hata wewe umejua sasa kwamba Warusi nao wanakufa?
Ni kitendo ambacho hakikubaliki na hakipendezi hata kidogo ila basi tu ni pale inapolazimu kutokana na kulazimishwa kufanya hilo tena kwa kujitetea(kama taifa) uhai wako.Unaweza fikiri ni Movie ila ndo hivyo binadamu wanauana
View attachment 2287677
Sorry, Sasa mbona unashinikiza asipost picha za maiti lakini anapo-post za SILAHA zinazotumika au tuseme matukio mengine ya hiyo vita huoneshi kujali? Kwani maiti zinashida gani?Umejuaje nilikuwa sijui ?
Majamaa yanakufa vibaya kisa tu yanatumikia jeshi[emoji28]Yule kamanda wao huyu hapa. Eti hajulikani alipo, nani kasema?
View attachment 2287938
... sijawahi ku-comment huu uzi. Kufa, iwe vibaya au vizuri, kwa ajili ya kulitumikia jeshi la nchi yako sio tatizo. Tatizo ni kufa kwa ajili ya kumtumikia dikteta mmoja mvamizi anayetamani kumwaga damu za wasio na hatia - hapo ndipo tatizo lilipo.Majamaa yanakufa vibaya kisa tu yanatumikia jeshi[emoji28]